Flaviana matata

Flaviana matata

7292A090-5AF4-47AF-BBD6-0AD20EBCA7B1.jpeg
 
Very true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
Wacha maneno mengi weke facts, Niko happa nakusbir uziweke
 
Wanawake hawaruhusiwi
Who said so??? Women are all allowed though they practice their rituals differently, uingereza london pale khna masons wa kike na they have there HQ pale uingereza, kwenye hili suala hawana ubaguzi wa nani asiingie since they aim katika kukana uwepo wa God almighty mkuu, sorry kama utakwazika.
 
Very true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
Ebu lete hizo evidence full.
 
Duh
 
Bado sijaelewa. Kwahiyo mtu akiziba jicho moja ni illuminati
Kuna wanaofanya hivyo kwa kufuata mkumbo tu, alama nyingi za vidole huchukuliwa kama swaggaz na wengi bila kutambua kuwa wanapromote hizo societies secretly.
 
Ujue hata kuvaa nguo kuna jamii nyingine wanaona ni vitu vya tofauti. Ambaye ana amini hicho kitu ndio atakitafsiri vile kilivyo. Mfano wewe una amini illuminati obviously ukiona mtu katumia alama zenu utajua ni mwenzio lakini kwa mimi ambaye sijui naona ni pozi tu.
 
Ushauri:
Usifanye au kuiga jambo lolote especially western fashion and lifestyle bila ya kujua maana yake.
 
Back
Top Bottom