Flaviana matata

Flaviana matata

Mkuu, kama wanavyojiita secret society, sasa kusema unataka concrete evidence ' sio swala rahisi .

Wao wana msemo "The Secret is how to die", otherwise hakuna secret.

Freemasons halls haziko mafichoni, wote tunajua zilipo, na kuwa Freemasons siyo siri.

Sema kuna watu wanakuwa na agenda zao mbovu wanatumia hizi societies.
 
Yani MJ alikuja ishia vibaya mno aisee plus huyo actor kapotea kizembe, kila kitu kina price to pay
Home alone anadundika tuu now na unga wake[emoji23] [emoji23] .. Kwa MJ iliniuma kinoma
 
Best Hapo kwenye unwillingly cotract signature umebugi. Ktk ulimwengu wa roho hakuna kitu km icho Kama hukuwa willing unaweza kuikana hiyo contract. Anachofanya Lucifer Ni kukutega ktk material na emotions things then ukaingia tamaa and you are willingly and knowingly you sell ua soul.
Mkuu hyo imewakuta vijana kama kina Justin Bierber, xxxtention na wengine kibao, zile deals wapewazo na largest record labels zinahusisha hivyo vitu bila wao kujua especially kama unaonekana you have a talent and wanajua kwa hivhiv you can't agree, they use that unwilling tactic kukudaka mkuu. Any big deal from large entertainment companies comes with a price coz their owners are members of these secret society.
 
Weka ushahid tuone
Very true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
 
Tukumbuke Flaviana Matata was discovered na jamaa mmoja black american aitwaye Russel Simmons aliyemtambulisha huyu mdada kwa fashionista kama Tommy Hilfiger na wengineo wengi. Turudi kwenye maada, How was Flaviana introduced to the secret societies????. In America many top fjgures in all industries including modelling and fashion are members of these secret societies either willingly or unwillingly. Unwillingly nitaieleza kwa kugusia upande wa modeling and fashion, huwa hizi top agencies zinapokupa contract kupitia hizo contract kama hauko carefull then unajikuta ukisign a devil's deal unwillingly. Kwenye willingness nj maamuzi yako tu. Kupitia Russell Simons and other top figures like Tommy Hilfiger hawa ndio walihusika ipasavyo katika kumuintroduce huyu dada kwenye secret society. Why??? Russel Simmons is a member and through introducing new young generations of these secret societies inamsaidia yeye katika personal success(sitaongelea sana hapa) hivyo ni mmoja wa recruiting people katika hizi secret societies so my point is Dada yetu was recruited na unapokuwa katika industry hizi influence iliyopo haikuachi mzma ni lazma utagive in tu. Mfano m hai ni kilichomkuta Cara Delevingne walimpandisha high then akawa offered the deal tayar akiwa kashaonjeshwa success at the highest level. Niishie hapo but ukiwa hujaridhika mkuu fuatilia kwa kufanya binafsi then jibu litakuwa the same na hili nilitowalo.
Maelezo yako hujaeleweka vizur aiseee
 
Mechi kubwa huwaje tumegee kidogo
Nilisoma information ya hizi secret societies had nikachoka mwenyewe aisee, nikasema niyaache kama yalivo maana dunia hii sisi normal people hatujui ya deep hata tuyasomayo hayana ukweli wame release vtu visivyo vya ukweli. One day kuna mtu alinipa Facts had jinsi mechi kubwa zinavokuwaga eeeh nikafatilia ikawa true
 
Hizi kelele za kusema mtu ni "freemason" naona ni upuuzi Tu.
Haiwezekani mtu ufanye kazi kwa juhudi na maarifa kisha ukifanikiwa uitwe 'member of a secret society"..
Nonsense
 
Hizi kelele za kusema mtu ni "freemason" naona ni upuuzi Tu.
Haiwezekani mtu ufanye kazi kwa juhudi na maarifa kisha ukifanikiwa uitwe 'member of a secret society"..
Nonsense
You see what the eye tells you to see and hear what the ear tells you to hear
 
Very true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
Bring more information man. We need to know more
 
Nilichogundua ni kuwa amekonda balaa na akiendelea hivyo atajitafutia matatizo ya kiafya.
 
Back
Top Bottom