Flatbed trailers zinahitajika malipo 100%

Crocozilla

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
471
250
Ndugu wanajamvi,

Natafuta flatbed trailer used ambayo ipo Dar es salaam. Maelezo ya ziada;

Flatbed trailer used au mtumba
Air suspension BPW axles
40 ft
Super single tyre
Iwe used ya Ulaya au hata za Uturuki zilizotumika nje au hapa Tanzania
Iwe tayari imeshafanyiwa matengenezo au bado vyote sawa tu!
Malipo ni 100%
Tafadhali tumia PM au Facebook yangu ni Mangusha wa Mangusha
Nipo serious
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom