Trailer inatafutwa

Crocozilla

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
469
335
Ndugu wanajamvi,

Natafuta flatbed trailer used au mpya
ambayo ipo Dar es salaam. Maelezo ya ziada;
Flatbed trailer used au mpya
Air suspension BPW axles
40 ft
Super single tyre
Iwe ya OZGUL au SERIN au SUPER DOLL
Iwe used au mpya
Malipo ni 100% nalipa
Tafadhali tumia PM au
Nitafute +255 62 229 0146
Nipo serious
 
Back
Top Bottom