Flat Screen TV za Star Time

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,488
1,806
Ndugu,

Mimi nimekuwa natumia TV ya SONNY Triniton, Lakini sasa imechoka kwani rangi haionekani vizuri. Hivyo nataka kununua TV nyingine. Budget ni kama 700K hivi. Nimeshauriwa nininue Flat Screen ya StarTime.

Naomba ushauri juu ya UBORA wa TV hizi ama ushauri wa mbadala wake. Sijawahi tumia Flat Screen hapa nyumbani kwangu.

Natanguliza shukrani za dhati

Nyati
 
Ni nzuri sana, lakini pia ina gerentii ya mwaka mmoja!..Utafaidi.

Picha yake ni ya ukweli, na ya mfumo wa Liquid Crystal Display(LCD)

Brand yake ni HISENSE, ambapo wanatengeneza na vitu mbalimbali vya electronic kama mafriji na viyoyozi.
Try it, u will enjoy!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom