Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 648
- 611
Wakuu wa Tech habari?? Hivi majuzi niliamua kuwa natumia website ya Learners TV kujifunza masomo mbali mbali n.k. tatizo kila nikitaka kufungua Video training yoyote nakutana na error#2035 nimejitahidi kutumia browser tofauti tofauti na ku update flash player pamoja na kui enable katika browser yangu bila mafanikio. Nikiingia youtube Video zina play kama kawaida tatizo ni kwenye hiyo web. Nifanyeje wakuu??? Au kuna option ya sites zingine naweza kutumia kujifunza hasa mambo ya system Engineering?
Nawasilisha.
Nawasilisha.