Flashback Friday: When Biggie almost had Snoop n 'em killed.

Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
13,012
23,613
What up, y'all.

So it's 95, at the height of "West Coast v East Coast". Kimsingi ilikuwa Death Row v Bad Boy, Tupac v Biggie, Suge v Puffy, kwingineko ilikuwa all love (at least from the West Coast).

Anyway, Snoop alikuwa na ngoma na Tha Dogg Pound inaitwa "New York New York". Basically they were shouting out NY. Wakaenda NYC ku-shoot video. Wakiwa NY, wakaenda Hot 97 kuwaambia wenyeji kuwa tupo so come show some love in the video. Funkmaster Flex, being a punk he's always been(excuse my Russian) akakataa kuwapa jamaa airtime. Jamaa hawaku-mind, wakarudi location kuendelea na shooting. Funk akamcheki Biggie kuhusu hiyo situation. And Big being a pussy he's always been, badala ya kwenda kuongea na wana kiume, he called kwenye kipindi na kuwaambia watu wa NYC wasikubali West Coasters kufanya kazi NY.

That's when some other punks(is there anyone in New York who isn't, really?) went and try to shoot at them dudes.

Eventually, jamaa walibadilisha script na kufanya video kurudisha "love" waliyopata toka NYC. That was a very pussy move from Big, but much worse a dumb one. Kama mauaji yangetokea siku ile, Big angekuwa matatani coz he was on record "calling shots"(get it?).

Is that still y'all's man?
 
Damn man..that shit was hot snoopy and biggie wizie weed on hood west side connection for life
 
Back
Top Bottom