Ukizoea kutengeneza simu za Tecno utaona kila simu ni rahisi kutengeneza. Si oppo tu kwamba ndiyo simu tata kwa maswala ya kuflash. Zipo kampuni nyingi za simu ambazo zimezuia uwezo wa flashing tools kuweza kufanya kazi kwenye simu zao.
Wana software maalum kwa ajili ya simu zao na zinapatikana service center tu, Hii ndio imeleta biashara ya remotely kwa simu aina hiyo.