Fungua command line as administrator kwenye windows 7, halafu andika command zifuatazo kwa herufi kubwa kama nilivyoziandika hapa, maandishi ya kwenye mabano achana nayo hayo ni msaada zaidi jinsi ya kutumia ili usipotee
haya sasa anzia hapa chini
DISKPART
LIST DISK
(Hapa itakuonesha list ya drive zote na namba zake, ni muhimu sana hapa kuijua USB drive yako pamoja na namba yake kwa sababu vitatumika kwenye command inayofuata)
SELECT DISK 1
(kumbuka kuchagua DISK 1 iwapo USB drive yako inasoma disk 1 kwenye list vinginevyo angalia USB drive kwenye list inasoma namba ngapi na weka )
CLEAN
CREATE PARTITION PRIMARY
SELECT PARTITION 1
ACTIVE
FORMAT FS=NTFS
(acha mpaka 100% itakapokwisha na kukupa maelezo ya kufuata, itachukua muda hapa kulingana na uwezo wa pc yako)
ASSIGN
EXIT
(hapa kazi imeisha kinachofuata sasa ni kuformat kama kawaida kuitoa katika system ya ntfs kuipeleka kwenye system yake ya kawaida ya fat, ukifanikiwa au kushindwa usisite kunipa feedback)