Flash Disk KingSton Haifunguki, Msaada Please!

Flash Disk KingSton Haifunguki, Msaada Please!

eedoh05

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
632
Reaction score
237
Nina flashdisk aina ya KingSton ya 8 gb haifunguki kinanapojaribu kuifungua inasema "This Disk is Not Formatted. Do you want to format it?" Uki crick "yes" inaenda kisha inaleta message "Windows could not format this disk.
Wakuu nifanyeje?...
 
Fungua command line as administrator kwenye windows 7, halafu andika command zifuatazo kwa herufi kubwa kama nilivyoziandika hapa, maandishi ya kwenye mabano achana nayo hayo ni msaada zaidi jinsi ya kutumia ili usipotee
haya sasa anzia hapa chini
DISKPART
LIST DISK

(Hapa itakuonesha list ya drive zote na namba zake, ni muhimu sana hapa kuijua USB drive yako pamoja na namba yake kwa sababu vitatumika kwenye command inayofuata)

SELECT DISK 1
(kumbuka kuchagua DISK 1 iwapo USB drive yako inasoma disk 1 kwenye list vinginevyo angalia USB drive kwenye list inasoma namba ngapi na weka )

CLEAN

CREATE PARTITION PRIMARY

SELECT PARTITION 1

ACTIVE

FORMAT FS=NTFS

(acha mpaka 100% itakapokwisha na kukupa maelezo ya kufuata, itachukua muda hapa kulingana na uwezo wa pc yako)

ASSIGN

EXIT
(hapa kazi imeisha kinachofuata sasa ni kuformat kama kawaida kuitoa katika system ya ntfs kuipeleka kwenye system yake ya kawaida ya fat, ukifanikiwa au kushindwa usisite kunipa feedback)
 
Jaribu na hii:
Right click "My Computer" or "Computer" icon.
Chagua neno "Manage"
Chagua neno "Disk Management"

Zitajitokeza hard disk, cd rom na flash disk yako,

Chagua flash disk yako na ui Right click,

Chagua neno "Format"
click neno "Perform a quick format" halafu bonyeza neno "OK"

Hapo kwishney.
Ila ikikataa basi ujue flash yako imekufa.
 
Tafuta Pc yenye ubuntu,
then utaiona USB yako ktk Desktop then hapo uta copy kla k2 then utacopy v2 vyako AU kama huna haja ya hvyo v2 we right click >format, ubuntu naikubali sana hapo lzma itajformat
try ksha u2letee fidbak,
 
Back
Top Bottom