Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,539
Reaction score
48,856
Leo nimeona sio vibaya kila mtu akashiriki kusimulia matukio ambayo unayakumbuka ulipokua boarding school, either ya kusikitisha au kufurahisha.

Kwa uchache haya ni ya kwangu.

1.Tabia za kutokupenda kuoga: Kutokana na hali ya hewa kuwa baridi sana pale shuleni kwetu, wengi wa wanafunzi walikua wanapiga , " Passport" au " Kogo",kuosha sehemu chache tu za mwili, bila kuoga kabisa. Kuna mwanafunzi mwenzetu huyu yeye alikua na uwezo wa kutokuoga semester nzima. Yeye alikua ananawa uso tu na kwenda parade. Baada ya wanabweni wenzake kuona tabia yake. Kikakaa kikao kisicho rasmi ambacho maamuzi yake ilikua lazima jamaa aoge. Kwa pamoja wakamkamata mhusika na kumwogesha.

2. Tabia za kupigana makofi wakati wa kulala: Kulikua na tabia ya kila mwanafunzi mgeni kupata ukaribisho kwa kupigwa kofi usiku na kupakwa colgate mdomoni usiku wa kwanza anapoingia bording. Wanachumba wote kwa pamoja humtegea mgeni na kusubiri alale. Halafu taa huzimwa zote bweni zima. Mhusika hulishwa colgate akiwa amelala na kupigwa kofi la ukaribisho.

3. Utoro kwenda kwenye maulidi na harusi: Jamii ya watu walioizunguka shule wengi walikua wa dini ya kiislamu, hivyo kulikua na sherehe nyingi za maulidi, hivyo pale kunapotokea maulidi basi vijana usiku hutoroka na kurudi na mifuko na plastiki yenye pilau. Vile vile kila kunapotokea harusi maeneo ya jirani na shule basi usiku wa sherehe husika watu huzamia harusini, kubadilisha menyu.

Kwa uchache yangu ni hayo tu, karibuni nanyi mlete ya kwenu.
 
1.Nilikua nasingizia naumwa ili tu nisiende darasani nilale bwenini

2.siku ya entertainment kuna mziki kila mtu anakua na demu wake.

3.kucheza kamari bwenini.

4.tulitaka kuchoma shule kisa mwenzetu alizidiwa usiku bila kupata msaada wowote na vurugu ilitokea kubwa walinzi na bunduki zao walituogopa wakawa wapole.
 
Kunywa uji na kiporo cha makande au ugali wa jana kwa kuwa huna hela za kununulia mandazi au vitumbua..au siku nyingine kupiga uji dry...

Siku ya wali maharage au nyama na ugali watu wote kwenye group lako la kula hawakosekani hata mmoja...

Kubeba kiti na meza na kwenda kusomea chimbo la porini hukoo

Kujificha darini siku ya ukaguzi wa usafi
 
1. Muda wa michezo wenzangu wakiwa viwanjani Mimi nikienda kitaa kula mzigo.
2. Kufungua store ya shule usiku wa manane na kuiba sukari na mchele. Tulikuwa na funguo nyingi sana.
3. Kuiba kuku na Sungura wa mapadri kwakuwa ilikuwa seminari. Na kuwatengeneza supu usiku wa manane.
 
Mkuu umenikumbusha, siku ya jumamosi ilikua ni siku maalum maana ijioni menyu ilikua ni kitimoto. Hakuna ambaye alikosekana kwenye foleni.
 
Hahahhaha,umekumbusha tulivyokuwa tunafoji stemp,jamani tunafuta mhuri halafu tunatumia hiyo stemp kutuma barua,pia shida ya maji ndo ilisababisha watu tupige passport size,yaani nilishaapa kamwe wanangu hawawezi kusoma boarding schools
 
Haha, Mkuu hilo la kufuta mhuri wa stempu kumbe lilikua kila mahali?
 
Kunywa uji na kiporo cha makande au ugali wa jana kwa kuwa huna hela za kununulia mandazi au vitumbua..au siku nyingine kupiga uji dry...

Siku ya wali maharage au nyama na ugali watu wote kwenye group lako la kula hawakosekani hata mmoja...

Kubeba kiti na meza na kwenda kusomea chimbo la porini hukoo

Kujificha darini siku ya ukaguzi wa usafi
Mulemule aaaan ka tulisoma skul moja we jamaaaaaa
 
Mkuu umenikumbusha, siku ya jumamosi ilikua ni siku maalum maana ijioni menyu ilikua ni kitimoto. Hakuna ambaye alikosekana kwenye foleni.
Kupika mboga za majani kwenye vyombo vya plastic. Kupigia vye..to bafuni.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
1. Muda wa michezo wenzangu wakiwa viwanjani Mimi nikienda kitaa kula mzigo.
2. Kufungua store ya shule usiku wa manane na kuiba sukari na mchele. Tulikuwa na funguo nyingi sana.
3. Kuiba kuku na Sungura wa mapadri kwakuwa ilikuwa seminari. Na kuwatengeneza supu usiku wa manane.
Mkuu ulisoma seminary ipi
 
Nilisoma shule moja hivi O Level yangu..

Form four ndo walikuwa vinara wa kuwaburuza Na kuwatesa form one.

Hii siku sitakuja kuhisahau kamwe, majamaa yakaingia bwenini kwetu, hapo niko form one.... Mmoja akakaa mlangono, yaani hakuna hata form one mmoja alitakiwa atoroke.

Wengine wakaanza kupita kila kitanda kutuvutisha bangi, basi kila mtu alikuwa anapiga pafu mbili au tatu.

Form four mmoja akamkata mmoja wa form one, akamuuliza kichwa cha ub.oo wako na wangi kipi kikubwa.... Form one akijibu cha kwangu...

Daah, lile jamaa likamchukua yule form one akaenda naye chamba, akatoa mashine yake akaipaka mafuta, kisha akamwambia yule form one aanze kuisugua, yaani kumpigisha puny.eto..

Jamaa alisugua hadi yule form four kapiga bao...

Aisee....naomba niishie hapa, maana yako manyanyaso mengi sana, na nikikumbuka machozi yananitoka...
 
1. Muda wa michezo wenzangu wakiwa viwanjani Mimi nikienda kitaa kula mzigo.
2. Kufungua store ya shule usiku wa manane na kuiba sukari na mchele. Tulikuwa na funguo nyingi sana.
3. Kuiba kuku na Sungura wa mapadri kwakuwa ilikuwa seminari. Na kuwatengeneza supu usiku wa manane.
Mkuu hiyo ya store tulifanya sana. Ilikuwa tunamnunulia pombe mpishi halafu akilewa tunafungua store na kuchukua mikate.
 
Back
Top Bottom