Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,042
Ninayo flash disk yangu ya 4gb ambayo nili save files zangu za masomo ndani yake lakini kwa bahati mbaya nadhani ilibeba kirusi kikaleta shida, na kwa sababu hiyo naona kama baadhi ya mafaili hayaonekani katika baadhi ya computer lakini katika baadhi ya computer yanaonekana.
Nilisha i format na hata nilipoyarudisha bado siyaoni. Kuna Pc zingine haziyaonyeshi lakini zingine zinayaonyesha yakiwa faint.
Wakuu nifanyeje? maana hayo mafaili ni ya muhimu sana kwangu na najua yamo.