Flash aionyeshi files zangu

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Ninayo flash disk yangu ya 4gb ambayo nili save files zangu za masomo ndani yake lakini kwa bahati mbaya nadhani ilibeba kirusi kikaleta shida, na kwa sababu hiyo naona kama baadhi ya mafaili hayaonekani katika baadhi ya computer lakini katika baadhi ya computer yanaonekana.
Nilisha i format na hata nilipoyarudisha bado siyaoni. Kuna Pc zingine haziyaonyeshi lakini zingine zinayaonyesha yakiwa faint.
Wakuu nifanyeje? maana hayo mafaili ni ya muhimu sana kwangu na najua yamo.
 
Request what you need

I responded to you via that topic, as long as you're a member I believe you have access with it.

Furthermore, this' good to make unregistered members have their own views on your prob.

Kind regards
 
Ninayo flash disk yangu ya 4gb ambayo nili save files zangu za masomo ndani yake lakini kwa bahati mbaya nadhani ilibeba kirusi kikaleta shida, na kwa sababu hiyo naona kama baadhi ya mafaili hayaonekani katika baadhi ya computer lakini katika baadhi ya computer yanaonekana.
Nilisha i format na hata nilipoyarudisha bado siyaoni. Kuna Pc zingine haziyaonyeshi lakini zingine zinayaonyesha yakiwa faint.
Wakuu nifanyeje? maana hayo mafaili ni ya muhimu sana kwangu na najua yamo.
Hizo file ziko hidden na tumia console kuziunhide...

Start/Run/CMD/ then click enter alafu nenda kwenye drive yako inaweza kuwa h au F.

then type this

attrib -s-h * /s/d
 
Ninayo flash disk yangu ya 4gb ambayo nili save files zangu za masomo ndani yake lakini kwa bahati mbaya nadhani ilibeba kirusi kikaleta shida, na kwa sababu hiyo naona kama baadhi ya mafaili hayaonekani katika baadhi ya computer lakini katika baadhi ya computer yanaonekana.
Nilisha i format na hata nilipoyarudisha bado siyaoni. Kuna Pc zingine haziyaonyeshi lakini zingine zinayaonyesha yakiwa faint.
Wakuu nifanyeje? maana hayo mafaili ni ya muhimu sana kwangu na najua yamo.
M-Fisadi

Umefaniksisha tatizo lako
 
Wakati Mwingine

Tumia F:\dir\ah ( Assume F Is Ur Flash Disk ) Hapo Utaweza Kuona Files Zako Kisha Unaweza Kutumia Address Bar Kuzifungua Moja Moja Kisha Kuzihamisha Ndio Uformart Flash Kama Kuna Uwezekano Huo

Weekend Njema
 
Pia unaweza kufungua Flash kwakutumia Computer yenye Linux then unazi copy kisha unaformat Flash alafu unazi-restore tena ktk flash. au unatumia Recovery My files Software.
 
Back
Top Bottom