Huko nimejaribu nimepata audio za wenzetu wa huko mbele vipi za kibongo,Naija na south Africa ......Alafu kingine sauti zinasikika clearapo torrent ni uhakika , utofauti utauona hasa ukiwa una vifaa mana izi device zetu za kawaida ngumu sana au uwe ni audiophile * Sema kwa siku hizi kama ni mpenzi wa mziki bora ulipie tu hizi music platform kuliko kujitesa na kupakua nyimbo (apple music - audio quality inacover zote hasa kama una vifaa ,yt music na Spotify - best algo recommendation)
Files za FLAC zinapatikana kwenye sites hizi: Qobuz, BandCamp, na HDTracks. Kwa Qobuz unalipia ili ujiunge.Asante sana ndugu je nipate wapi hizo flac file
Kibongo hauwezi kupata hizo files, namna pekee ya kuzipata labda producer anapo export files aweke Flac au wav formats. Vinginevyo kuzipata ni shida.Huko nimejaribu nimepata audio za wenzetu wa huko mbele vipi za kibongo,Naija na south Africa ......Alafu kingine sauti zinasikika clear
Mimi sio Audiophile ila kwa hizo bitrate na hao watakaokwambia kuhusu utofauti utahitaji kugharamika sana kuanzia Dac kama unatumia simu na vifaa vingine kama Earphone za maana etc.Wakuu kama title inavyoeleza naomba kujua tofauti iliyopo kati ya audio flac file na mp3 320kbps .......
Na sehemu website au apps gani naweza download hizo flac file zenye quality nzuri.....
Natanguliza shukrani....