Rosenchold
Member
- Jul 6, 2021
- 38
- 40
Atumie Nini Sasa headfone au?kitu cha kwanza unacho takiwa ujue mziki sio plugin..unaweza kuwa na plugin hata buku na ukatoa madesa...Kama mimi kwenye upande wa mixing huwa natumia stock plugin na waves tu lakin madude nnayo yatoa ni balaa. cha msingi kula sana msuli kwenye mziki hakuna shortcut lazima ujue vitu vinafanyaje kazi...alafu kama unatumia sabufa kutengeneza mziki acha kabisa hahahahahaha[emoji16][emoji16]
mziki ni frequency so ajipange tu achukue monitors coz zimetengenezwa kwa kiwango cha frequency au production headphn kutoka brand za kuaminika kama beringerAtumie Nini Sasa headfone au?
[]internet money__ humu utakutana na Wana fl studio wengi tu...hayo madrill matrap hawa jamaa ni mbwa yan ukiwa unawafatilia hawa jamaa alafu huna omnisphere roho itakuuma sana...huku ndo utakutana na wakina nickmiraCitizen B unaweza uka recommend channel yako pendwa ya Tutorial kama hautojali?
Elimu ya Music Theory inapatikana wapi?Mi nlianza kutengeneza mabit bila music theory mpaka ikafika levo yakawa somehow good...ila now naona kama ningejifunza music theory mapema ningesave Muda mwingi.
Music theory haikupi creativity lakini inakusaidia ukiwa creative.
Inakusaida kuexpress idea yako Kuwa reality
mzee speaker gani unazikubali kwa kuchuja mziki vizuri studio??? Msaada kwenye tuta plug ins ni nini?kitu cha kwanza unacho takiwa ujue mziki sio plugin..unaweza kuwa na plugin hata buku na ukatoa madesa...Kama mimi kwenye upande wa mixing huwa natumia stock plugin na waves tu lakin madude nnayo yatoa ni balaa. cha msingi kula sana msuli kwenye mziki hakuna shortcut lazima ujue vitu vinafanyaje kazi...alafu kama unatumia sabufa kutengeneza mziki acha kabisa hahahahahaha[emoji16][emoji16]
mimi nataka kujifunza sampling beat kali kama za Duke zileKitu cha kwanza unachotakiwa uhangaike sana kujifunza ni jinsi ya kutengeneza melody..Melody unaipata kwa kujua kutumia vizuri plugins ulizonazo na ujifunze kuzipanga kwenye piano roll hakikisha melody yako kwenye piano roll inakuwa na mzunguko angalau wa bars nne(ukifungua piano Roll utaona)...pia mziki unaotaka kuutengeneza unatokana na Key kwa mfano unapendelea kutengeneza beat inayofanana na Wiz khalifa something new na beats kama hizo iwe ndio identity yako basi beat ile imetengenezwa kwa D major..Hakikisha pia unazingatia Tempo(Bpm) unapotengeneza beat Trap nying huwa na tempo ya kuanzia 80 mpaka 90...pia kwenye plugins unaweza ukawa nazo mia lakini nyingine zikawa suck zinatengeneza ringtone tu nakushauri plugins za muhimu kuwa nazo ni Rf Nexus,Flex,Morphine na nyingine za nyongeza..Hiyo ni hatua ya kwanza kabisa kumbuka ukiweza hivi unatakiwa ujue kufanya mastering na mixing pia hili beat yako isound good
kwangu Mimi Yamaha mwisho wa matatizo ..plugins ni software zinazo tumika katika kutengeneza mziki...Kuna aina mbili za plugin, plugin zinazotoa saut na zisizo toa saut, plugin zisizotoa saut huwa tuna tumia kwenye mixing mf..Equalizer, compressor na plugin zinazotoa sauti ni kama vinanda,gitaa nk... mfano mzuri labda unataka kupiga gitaa na hauna ilo gitaa live sasa unaingia internet unadownload software ya gita unaiingiza kwenye kompyuta unaanza kupiga sasa hiyo software ndo plugin..mzee speaker gani unazikubali kwa kuchuja mziki vizuri studio??? Msaada kwenye tuta plug ins ni nini?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
usiache kufanya kwaya...kwenye kwaya Kuna ela sana, kanisa ndo huwa linalipa linaweka bajet kabisa..producer unapiga mdundo huku ela yako iko mfukoni na upako juuuDaah....huu ndo muda na mie nianze sasa kutengeneza beat za trap,rnb n.k niache hizi za kwaya kwanza, ila za kwaya kuzipiga ni very simpo kwenye kinanda lakini [emoji23]
nimekuelewa sana.mimi napenda kusanple Kama DJ Premier au Duke Yamaha speaker bei gani?kwangu Mimi Yamaha mwisho wa matatizo ..plugins ni software zinazo tumika katika kutengeneza mziki...Kuna aina mbili za plugin, plugin zinazotoa saut na zisizo toa saut, plugin zisizotoa saut huwa tuna tumia kwenye mixing mf..Equalizer, compressor na plugin zinazotoa sauti ni kama vinanda,gitaa nk... mfano mzuri labda unataka kupiga gitaa na hauna ilo gitaa live sasa unaingia internet unadownload software ya gita unaiingiza kwenye kompyuta unaanza kupiga sasa hiyo software ndo plugin..
unamjua mujwahuki?usiache kufanya kwaya...kwenye kwaya Kuna ela sana, kanisa ndo huwa linalipa linaweka bajet kabisa..producer unapiga mdundo huku ela yako iko mfukoni na upako juuu
uwe na bajet kama milioni hiv na kuendelea inategemeana unataka version ipi...mfano Kama Yamaha hs8 nikama milioni na nusu hivinimekuelewa sana.mimi napenda kusanple Kama DJ Premier au Duke Yamaha speaker bei gani?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app