‘Fixed’?

‘Fixed’?

Bwana mdogo jitahidi sana kuwa na adabu kwa waliokuzidi umri, exposure, elimu na pesa.

Usinilazimishe kabisa nikutamkie neno baya iwe laana kwako. Sitaki iwe hivyo.

Sauh'waaa?!

Semenya ni mcheshi mno, nimecheka hapa hadi walinzi wangu wanashangaa.
 
Yaani haka ka-translation ka Google ndo kamezidi kuufanya huu uzi kuwa mgumu...

Watu wengi hawajui kuwa kiswahili ni kigumu zaidi kuliko mayai ya malkia.

Kwa muktadha huu, mimi na wasomi wenzangu wa VETA wa fani ya "welding and fabrication" tunaahidi kutoa ushirikiano mkubwa tukiwa kama wapenzi wasomaji na wagonga like...

Tuendelee kuifuatilia kwa makini hii conspiracy theory ya kibongobongo...

K Vant njoo uniongezee vocabularies kwenye medula yangu
Halafu hii "google translate"ndiyo inayo complicate kabisa kiswahili kwa kiasi kikubwa mno. Actually, walitakiwa waiite google dictionary
By the way, who is s/he?
 
Kwani kujua lugha laz

Kwani kujua lugha lazima uwe msomi? niachojua mimi lugha haihitaji usiomi bali ni ama umezaliwa nayo ama unakoishi kama ni usukumani inabidi uongee kisukuma kwa kuongea na wenyeji,ukienda Rungwe au Kyela kutokana na mazingira lazima utajua Kinyakyusa si kwa kwenda darasani bali kwa kusikia na kuongea na wenye lugha, kutunanga Watanzania kuwa tukasome wakati hata huko kwa wenye lugha wenyewe wapo wengi tu hawajui Kiingereza pamoja na kuwa Waingereza,sawa na hapa Watanzania sio wote wanajua Kiswahili
Mtu anayejifunza lugha nyingine ambayo si ile ya kuzaliwa, anakuwa considered kuwa ni msomi kwa sababu anachofanya yeye ni language analyisis ambayo hupelelekea ajue hadi mambo ambayo hata yule aliyezaliwa anaongea lugha hiyo; hayajui. Mfano wa watu wa aina hii ni kama wale wanaosoma linguistics
 
Carl Sagan said extraordinary claims require extraordiary evidence.

How outrageous and off the beaten path your claims are must be directly proportional to how outrageous and off the beaten path your evidence is.

Otherwise, you will slowly descend into chaos.
How do you measure the dgeree with which something is deemed to be ordnary or extra-ordinary? With what scientific tool /instrument can you achieve that?
 
How do you measure the dgeree with which something is deemed to be ordnary or extra-ordinary? With what scientific tool /instrument can youachieve that?
Logical consistency.

Kama kila siku tunaona wanawake wakubwa wanazaa watoto wadogo kwao, leo ukiletewa mtoto mdogo wa siku moja, halafu ukaambiwa huyo ndiye mama mzazi wa kibaiolojia wa bibi mzee wa miaka 80, that will be extraordinary and will require extraordinary evidence.

Because it is not logically consistent with the ordinarily observed fact kwamba wanawake wanazaa watoto wadogo zaidi yao.
 
Logical consistency.

Kama kila siku tunaona wanawake wakubwa wanazaa watoto wadogo kwao, leo ukiletewa mtoto mdogo wa siku moja, halafu ukaambiwa huyo ndiye mama mzazi wa kibaiolojia wa bibi mzee wa miaka 80, that will be extraordinary and will require extraordinary evidence.

Because it is not logically consistent with the ordinarily observed fact kwamba wanawake wanazaa watoto wadogo zaidi yao.
Hoja yako imenichekesha sana na pia imenikumbusha swala la vyura wa Kihansi ambao huwa wanazaa watoto wazima. Sasa mimi nilikuwa napata shida sana namna wanavyogharimikiwa gharama kubwa sana na priority kubwa sana kuzidi hata binadamu. Sasa nilikuwa siku zote najiuliza kwa nini umuhimu sana kwa chura anayezaa watoto wazima, wakati yupo binadamu ambaye naye pia huwa anazaa watoto wazima siku zote, miaka nenda rudi?

Very fortunate querry yangu hii ya siku nyingi umeijibu wewe kwenye post yako hii leo. Umenichekesha sana
 
I’m not big on conspiracy theories.

But in the absence of veracious information, what’s one to do?

Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep?

Nah! Not for a thinking man.

I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as much bases as possible.

So, with that being said, I have a question.

How likely is it that he’s [you know who] been ‘fixed’?

If I were to hazard a guess I’d say because he has ruffled a lot feathers within the system and along the way, and with the pandemic serving as a perfect and an expedient backdrop, it was just a matter of time before they caught up to him....and did what they had to do.

How does that sound? Too far-fetched?

I’m just sayin’. I’m not sayin’. But you know what I’m sayin’.

✌️

Hurdle number can be compromised and therefore not a problem.
Hurdle number two can not be compromised but expendable.
When he said 'check' to hurdle number three, he was told 'check mate' and that was the end of the game between the two chess grand masters.
 
Back
Top Bottom