Naona tayari unafanya vizuri running/jogging and jumping ni mazoezi mazuri sana cha kuongeza hapo ni push ups, pull ups na dips na weightlifting kama biceps curls kama una vifaa. Ukifanya hivyo mwili utaanza kuwa toned.Mada nzuri sana, ninapenda kufanya mazoezi, japo wakati mwingine muda unakuwa issue, sikumbuki height yangu but nna 78kgs na kwa kweli nilishaambiwa angalau nifikishe 70. Sijawah hata kugusa. Sinwyi soda wala pombe, sili red meat, juice mara nyingi sana hutumia nyumbani. Nina watoto wawili, sina tumbo kiviiile but natamani lipungue zaidi. Nimekunywa maji ya limao na mdalasini (lemonade) yalochanganywa na asali, yamefanya mwili upungue japo uzito uko palepale, sina mazoea ya kula usiku mara nyingi, unlesa njaa iniume sana. Nikiwa na muda huwa nakimbia uwanja wa mpira mara mbili, naruka kamba mara 200-300, na mazoezi mengine ya tumbo.
Hivi sasa niko likizo pamoja na yote hayo nifanyayo nishaanza kujiona nagain weight. Ajabu sign ya kwanza kunionesha nimenenepa ni mikono. Yaani mikono ni mikubwa mno! Em nishaurini mazoezi ya kufanya nipungue kila kiungo cha mwili wangu, hasa mikono. Asanteni sana
Nmeipenda sna hii formulaWengi sana wanaogopa kutokula usiku kwa madai ya kwamba hawatalala, chakula cha usiku ndicho kinenepeshacho coz unakula then waenda kulala, hiyo hufanya chakula kisitawanyike mwilini ipasavyo (am not a biologist) so kinaenda kujaza sehemu chache tu za mwili. Matumbo kwa akina baba na makalio kwa akina mama. Na mbaya zaidi tunakula late hours saa 2 na kuendelea. Ukitaka matokeo mazuri ya mwili wako kula zaidi matunda usiku
Pamoja sana mkuuNmeipenda sna hii formula
Blessed [HASHTAG]#Spalulu[/HASHTAG]
Wengi sana wanaogopa kutokula usiku kwa madai ya kwamba hawatalala, chakula cha usiku ndicho kinenepeshacho coz unakula then waenda kulala, hiyo hufanya chakula kisitawanyike mwilini ipasavyo (am not a biologist) so kinaenda kujaza sehemu chache tu za mwili. Matumbo kwa akina baba na makalio kwa akina mama. Na mbaya zaidi tunakula late hours saa 2 na kuendelea. Ukitaka matokeo mazuri ya mwili wako kula zaidi matunda usiku
Mkuu Bufa nina swali hapo kwenye weightlifting kisha jogging je, haiwezi kufuta vile vitu vya mwanzoni ulivyofanya ukiwa gym?
Kufuta yale mazoezi ambayo umeshafanya kwa mfano labda nilokuwa natrain biceps nikamaliza hivyo nikienda jogging nikwamba ni kama naenda kunyoosha muscles vile. Ndio nilikuwa nataka kufahamu kuwa hakuna tatizo hapo?Mimi sio Bufa lakini naomba nikuulize?
Unauliza kuhusu kufuta nini?
Kufuta yale mazoezi ambayo umeshafanya kwa mfano labda nilokuwa natrain biceps nikamaliza hivyo nikienda jogging nikwamba ni kama naenda kunyoosha muscles vile. Ndio nilikuwa nataka kufahamu kuwa hakuna tatizo hapo?
shikamoo Nyani Ngabu. umesema ukweliEeeh bwana tutafutane tupige mbili tatu hivi,
Ngabu anasema mabaa ya bongo yamejaa Mapaka utadhani jalala la mzungu,
teh teh teh teh teh.
πππππππππ
Nashukuru sana mkuu Nyani Ngabu nimekuelewa vyema. Mungu akubariki sana.Oh hahaa...hapana. Hufuti chochote hapo.
Jua kuwa wakati ukiwa unafanya mazoezi unakuwa hujengi chochote bali unakuwa unabomoa.
Hivyo, wakati ukiwa unapiga biceps curls kwa mfano, hapo unakuwa hujengi. Unakuwa unabomoa muscle cells na ndo maana baada ya masaa kadhaa [24-48] unaanza kusikia maumivu [DOMS].
Ujenzi unafanyika ukiwa umepumzika na kwenye msosi. Na hapo kwenye msosi ni lazima ule vyakula vinavyojega, yaani vyenye protini nyingi.
Hivyo mambo ya muhimu sana kuzingatia ni chakula na mapumziko baada ya mazoezi.
Resting is gaining.
Mkuu,mm soezi la 'PULL UP' linanishinda sana kila nikijitahid naenda mbili au 3 tena kwa mbinde mnoo. Sasahivi natimiza mwezi sasa na kila siku lazma nipige tizi hilo ila hakuna mabadiliko yoyote.Unless ni biological condition kama leptin resistance, slow metabolism etc au kuna kitu mahala fulani hufanyi sawa. Tofauti na belly fat(kitambi) viungo vyote vya mwili vinaweza kuwa targeted na kuvifanya viwe vile utakavyo kwa mazoezi, kitambi chenyewe huisha taratibu pindi ufanyapo mazoezi ya viungo vingine.
Sehemu gani ya mwili imeongezeka ili nitoe ushauri specifically.
Mkuu,mm soezi la 'PULL UP' linanishinda sana kila nikijitahid naenda mbili au 3 tena kwa mbinde mnoo. Sasahivi natimiza mwezi sasa na kila siku lazma nipige tizi hilo ila hakuna mabadiliko yoyote.
Naomba kama kuna tekniki ya kuniwezesha kulimudu zoez hilo unisaidie mkuu kuijua