Tetesi: Fiston Mayele kawa Muislamu?

Kishapoteza dira ya maisha, hivi hana washauri wa kumshauri mazuri ya dunia kweli? Asipo angalia vizuri atajishitukia anakuja okota makopo na kuongea peke yake huku akipiga punyeto mitaani. Uislam huu jamani ni zaidi ya tuujuavyo, ni full vituko tu.
Nadhani wewe ni nabii TITO.
 
kwa njia yake pamoja naye na ndani yake wewe Mungu baba Mwenyezi katika umoja wa Roho Mtakatifu unatupa heshima yote na utukufu milele na aa milele

Kwa kufuata maagizo ya bwana Yesu kristo tunathubutu kusema,

Baba Yetu........


Kwakua ufalme ni wako

Na nguvu na utukufu hata milele,

Eeh bwana Yesu uliyewaambia mitume wako, amani yangu nawapa amani yangu nawaachieni, usitizame dhambi zetu Ila imani ya kanisa lako,

Unayeishi na kutawala daima na milele,

Tazama mwanakondoo wa Mungu Tazama aondoaye dhambi za ulimwengu heri yetu tulioalikwa karamuni ,

Eegh bwana sistahili uingie kwangu lakini sema neno tuu na Roho yangu itapona,,
 
Never, Uislam si dini ya mtu anayependa haki kuifuata....jiulize kwanini dunia nzima inaipinga hiyo dini?
Dunia nzima!?.. waislam ni zaidi ya robo ya dunia,wapo kila nchi, UK wameshakua waziri mkuu, Scotland waziri 'mkuu',mamdani anatetemesha New York, biblia inasemaje kuhusu wahubiri wake kupigwa vita na wengi!?
 
Kishapoteza dira ya maisha, hivi hana washauri wa kumshauri mazuri ya dunia kweli? Asipo angalia vizuri atajishitukia anakuja okota makopo na kuongea peke yake huku akipiga punyeto mitaani. Uislam huu jamani ni zaidi ya tuujuavyo, ni full vituko tu.
Anatumia akili kuteka akili za warabu ili aendelee kuaminiwa
 
So kuna kasoro gani hapa mkuu
 
So kuna kasoro gani hapa mkuu
Eeh bwana ulikumbuke kanisa lako linalosafiri hapa duniani...

Ulikamilishe katika upendo pamoja na baba Mtakatifu Leo, Askofu wetu Yuda Thadei Ruwaichi na msaidizi... Pamoja na waklero wote,

Uzisikilize kwa wema Sala za jamaa hii iliyokusanyika mbele yako,


Na kwa maombezi matukufu ya bikira Maria pamoja na watakatifu wote waliokupendeza tangu kale

uwakumbuke ndugu zetu marehemu uwapokee kwenye Nuru ya uso wako,

Basi kama hujaelewa mpka hapa kaka utakuwa unazingua sana

Nimezaliwa kwenye moja takatifu, la mitume mimi mkatolikiii cc DIVISHENI FOO secretarybird
 
Mkuu kwa hapa 🤔
 
Nipe dondoo kidogo kuhusu uislamu kama unavyosema wewe kuwa uislamu ni dini ya haki
 
When in Rome, do as the Romans do mbona mzinze pale yanga ili apewe namba ilibidi aslim awe muislamuj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…