Tetesi: Fiston Mayele kawa Muislamu?

Hata ronald alisilimu uarabuni. Pesa za waarabu ukitaka kuzipgia kiurahsi jifanye kuwa ni muislamu. Utawala hadi wake wao.
 
Alizushiwa na faiza fox ila hajawahi kusilimu
Hata ronald alisilimu uarabuni. Pesa za waarabu ukitaka kuzipgia kiurahsi jifanye kuwa ni muislamu. Utawala hadi wake wao.
 
Kishapoteza dira ya maisha, hivi hana washauri wa kumshauri mazuri ya dunia kweli? Asipo angalia vizuri atajishitukia anakuja okota makopo na kuongea peke yake huku akipiga punyeto mitaani. Uislam huu jamani ni zaidi ya tuujuavyo, ni full vituko tu.
Ukiacha akili yako iwe huru na ukawa mtu wa dini kama mayele,utasilimu tu
 
Kasilimu mayele wanaumia wengine
 
Ila mwamba kingereza hujui kabisa asee dah!
 
Ukiwa Roma ishi kama wao
 
Aisee, kwa kweli Zanzibar walikudharau, huoni kama ulidhalilishwa kufananishwa na Muddy kweli, si unajuwa sifa zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…