Fish Koromije @Ikungulyabashashii

Fish Koromije @Ikungulyabashashii

Huko Ikungulyabashashi......... Ni nyumbani kwa Nyani Ngabu bila shaka yeye ndo kakudakisha huko Ikungu.

Oooooh kumbee, soma vizuri bana mie nilikuwa kule kwa special assignment tangu wiki iliyopita, na saa hizi niko Dar tayari kwa raha zangu.
 
Kapende hivyo vibibi unavyosafisha huko Mtumwa mkubwa wewe!!!! Nyani lilozamia marekani lakini linashinda kwenye viforum vya TZ

wanaimbaga....
........maisha ya leo sio lazima kudeti na videntii.... C'mon....!!!
He is a cool boy... he is a cool boy.... he is a cool boy, cool boy......
Don't call him lover boy, don't call him lover, lover, lover boy my dadii...
Don't call him lover boy, he is a lovely dadii ever be, never before
cc: dadii wa Ikungu...
 
Kwenye Kitongoji hicho karibu na Koromije kuna Hotel na chef kabisa?
Hicho kitongoji kimeendelea to that extent?
 
Kwenye Kitongoji hicho karibu na Koromije kuna Hotel na chef kabisa?
Hicho kitongoji kimeendelea to that extent?

Tembea uonee au ujionee.....
Na ukiona lazima utomase kama si kupapasa ili uhakiki kama ni hotel kweli na ina Chef.
 
Ooh maa ma!

Holla Valle, ulishaonjeshwa Fish Koromije weye??

Mwambie akuonjeshe (sweet pie Monkey) na ukishaonja tuu, ujue likizo zako zote utakuwa unazimalizia Ikungulyabashashi.....

Mie nimetoka huko kwasababu tuu kuna project ingine natakiwa niifanye, fanya hima uende mamaa.
 
Back
Top Bottom