Hicho chuo cha kawaida sana .
Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.
Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine
Mfano
a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.
Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.
b)Architecture
Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm
Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm
Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC
Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.
c)Building Economy /quantity survey
QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru
Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.
d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.
e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia
f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.
g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm
Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.