super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
[emoji2][emoji3] naona kaja ki programmer zaidi!Wengine hawaView attachment 1247217
Same to me 2017 pale Aggrey vijana watata kabisa.Acha afurahie, mana msoto wa A-Level sio wa Kitoto!
Afu hiyo picha ya kushoto imepigwa Rungwe Boys.
Nilisoma na kuhitimu A-Level hapo!
halafu nawaona member wa UDOM hawa iseeWengine hawaView attachment 1247217
Same to me 2017 pale Aggrey vijana watata kabisa.
Hii kama CIVE vile au???halafu nawaona member wa UDOM hawa isee