First year washaanza kukinukisha mitandaoni

BJB FC

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
2,200
Reaction score
2,559
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wacha ashukuru Maisha yamebana sana kitaani. Sasa huyu akishakamata boom nae anaanza kuvimba class haingii baadae anadisco
 
Sasa mzee si umuache afurahie na kumshukuru mungu wake usikute ndo wewe huyu umekuja kutuletea porojo hapa
 
wamekinkisha vipi? even if it were you, you could do the same if you have no any means whatsoever to get the fee for your studies!
Eti eeeeh[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha afurahie, mana msoto wa A-Level sio wa Kitoto!

Afu hiyo picha ya kushoto imepigwa Rungwe Boys.

Nilisoma na kuhitimu A-Level hapo!
 
Ni sawa kushukuru kwa kila jambo. Huwezi jua kapitia mangapi hadi kuupata huo mkopo
 
Kufurahia ni Jambo zuri,wewe ulitaka akose ili aje kulalamika huku kwamba kakosa mkopo,then uanze kumfariji[emoji125][emoji125]
 
Mbona sijanusa hiyo harufu kwenye huu uzi...!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…