Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
mnanicheka tu,....kosa langu nimekaa nikapiga pembeni na siku-flashYaaani na mie metaka kuandika hivo hivo ila umeniwahi....any way subiri vidonge vyako lol
mnanicheka tu,....kosa langu nimekaa nikapiga pembeni na siku-flashYaaani na mie metaka kuandika hivo hivo ila umeniwahi....any way subiri vidonge vyako lol
mnanicheka tu,....kosa langu nimekaa nikapiga pembeni na siku-flash
basi wananisumbua acha tu,niliingia mjini mshamba ila sasa nisije nikawakimbiza mkuu Mr Rocky
airport ya dubai lazima zile za kunawa mikono ujifanye huna haraka uwachungulie wenzako wanafanyajekuna siku kuna jamaa mgeni alikata gogo katika yale masink ya kunawia mikono pale airport,loo waliitwa polisi na maofisa usalama,alitandikwa na deki kupigishwa,kazi kwelikweli.