First round selection

First round selection

Mnaoweka link za blog ban inawahusu. Weka link ya chuo husika kama huna kaa na blog yako siyo kutusumbua hapa.
 
Ardhi ni kama sijaona

Na ilo pdf linalozagaa nahisi ni wale wa multiple selections, single kama bado hivi…
Mm Ardhi inagoma kuingia kwenye account vyuo viwili simo nimebakiza Ardhi pekee inaonekana ushindani umekuwa mkubwa sana div two si lolote sasa hivi madogo hawamo kabisa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tutumie hilohilo Mkuu la multiple selections
Ee
Mm Ardhi inagoma kuingia kwenye account vyuo viwili simo nimebakiza Ardhi pekee inaonekana ushindani umekuwa mkubwa sana div two si lolote sasa hivi madogo hawamo kabisa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
one ya ECA mtu katemwaaa 🙌

Ardhi hapaingiliki
Udsm wananiambia wrong username, mpk sielewi
SUA sioni kitu…

Madogo wamevurugwa 🙌
 
Back
Top Bottom