First Public Preview: Hosanna Studio

Mpaka umetaja neno "Coding" atleast idea unayo mkuu...

Nilijifunza muda sana wakati tunatumia computer za shule. Nikaona ngumu japo nilikuwa napenda halafu facilities wakati ule zilikuwa matatizo.

Nikianza kusoma sasa itaniwia vigumu au atleast zile basics za kunisaidia kuenjoy pc yangu.
 
Nimeshawahi kumfundisha mchumi Programming ... imagine 😉

Actually kama upo advanced sana nitakutafuta tutengeneze platform fulani ambayo ipo kichwani kwangu kwa ajili ya kampuni yangu.

Bado idea sijaisuka vizuri ila bado ipo kichwani naendelea kuiandika kidogo kidogo.

Napenda sana mambo ya coding ila mi ni mtu wa mizunguko sana, situlii sehemu moja.

Kufanya practise itanisumbua sana.
 
Unaweza kufanya evaluation mwenyewe ukaona kama nafaa kwa kazi husika. Just use Google.
Otherwise I'd be happy to serve your company (with my company?)
 
Unaweza kufanya evaluation mwenyewe ukaona kama nafaa kwa kazi husika. Just use Google.
Otherwise I'd be happy to serve your company (with my company?)

Vyovyote vile. Ila pia nitashukuru kama pia tutajenga hiyo platform toka mwanzo pamoja.

Ngoja niweke mambo sawa nikutafute.
 
Nimeitest . Iko poa sana ( Considering its an early preview )

Nimependa Frameworks ( Yii & Laravel ) and Git support inayokuja nayo .
Keep the good work Stefano Mtangoo ..
 
Nimeitest . Iko poa sana ( Considering its an early preview )

Nimependa Frameworks ( Yii & Laravel ) and Git support inayokuja nayo .
Keep the good work Stefano Mtangoo ..
Umeweza ku install bila shida? Kuna mdau hapo juu ymollel ilishindwa kukimbia unfortunately kapotelea nyikani
 
Pia kama umetest naomba kujua OS uliyotumia
 
Hey man congratulations, It looks solid from the look of it, I am not an IDE fan myself, nor php, i am a vim guy, but i will give it a shot. Link still the same?
 
Hey man congratulations, It looks solid from the look of it, I am not an IDE fan myself, nor php, i am a vim guy, but i will give it a shot. Link still the same?
Ctrl+M will take you to Editor mode. The Link should be working now. Let me know how you find it.
 
Well I didn't get time to package that. What distro are you using?
 
Was once a coding lover, I do not know what happened to me
I wish practise something new but ......::
 
I have Ubuntu Willy werewolf am not sure if binaries will be compatible. I will check out that one
 
Umeweza ku install bila shida? Kuna mdau hapo juu ymollel ilishindwa kukimbia unfortunately kapotelea nyikani

Sorry aisee , I have been a little busy , nashindwa kureply on time , I tested the package on windows 8.1 na imerun with no problem. One problem I found is some bug in the preference window , when you want to change the font size of the code editor , it defaults to 1pt instead of a the current system font size ( or default configured font ) , But we'all know hii ni preview , and there are many features to fix and add . Tho sijaitumia sana ( I only tested it ) , but again package iko poa , na ni nzuri sana kwa beginners .

Kwa nin usiwe na thread / gist repo channel au somewhere else tunaweza kusubmit bugs and feature request for HS IDE

Ningependa kuona wa TZ tunasupport na kutumia products za nyumban , eventually tutafika walipo .
 
RobyMi thd IDE isbhosted on private git repo so it's hard to file bugs/feature request directly. Nita install bug tracker somewhere na kuweka Link hapa.

Hilo tatizo sijaelewa bado, kwamba kwenye Preference ni preview pekee ndio ina default 1pt au hata kwenye Editor?

Maoni yako unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…