critica junior
Member
- Sep 7, 2014
- 75
- 24
- Thread starter
- #21
Majina hayo kwenye hiyo link
Sorry kaka ni la chini baada ya hilo la round ya tatuDah mkuu tangazo la mwisho la tcu mbona hio habari haipo mkuu? Maana ni tangazo la kutangaza matokeo ya awamu ya pili na kufungua awamu ya tatu basi hio habari kweli tena nimepekua tcu yote haipo kabisa!
Angalia hii kaka utakutaSorry kaka ni la chini baada ya hilo la round ya tatu
Diploma uliombea kupitia NACTE au Vyuo vikuu?Vipi kuhusu diploma