under_score
Senior Member
- Nov 2, 2011
- 190
- 45
sio Arusha-Moshi, ni ya kwanza ukitoka Ars-Nbi
Karibu arusha,mkuu! Kama bi dada alivyosema,hiyo bar ipo maeneo ya sakina kama ukielekea Nairobi.... yeah sure, i can imagine it myself! we uko pande za arachuga m'jf mwenzangu ? maana natafta mwenyeji antembeze mjini kidogo... !
Karibu arusha,mkuu! Kama bi dada alivyosema,hiyo bar ipo maeneo ya sakina kama ukielekea Nairobi.
... yeah sure, i can imagine it myself! we uko pande za arachuga m'jf mwenzangu ? maana natafta mwenyeji antembeze mjini kidogo... !
Yah....nipo Arusha maeneo ya Yaeda....karibu sana....
akutembeze au unataka kumtokea?... yeah sure, i can imagine it myself! we uko pande za arachuga m'jf mwenzangu ? maana natafta mwenyeji antembeze mjini kidogo... !
Mkuu nipo pande za mianzini.Upo pande zipi,mkuu?shukrani mkuu, kumbe bi'preta' ni mdada enh? nimelipenda ile mbaya hilo jina lake japo sioni kama ana mpango wowote wa kunipa ukaribisho, wewe uko pande zipi mkuu ?
live band si kila siku,na si bendi kubwa sana-ni hizi wanazopiga bakulutu-arusha ukiacha ndanda kosovo-hakuna bendi inayopiga sana mziki,afadhali 7/7 walikuwa na bakulutu za ukweli-..na huwa inajaa,j3 mpka j3!live band,nyama choma na dada zetu walee....kazi kwako
Ile ingefaa kuitwa "first right" na sio left
akutembeze au unataka kumtokea?
karibu Ar-chuga mkuu