Pole sana ndugu jamaa na marafiki. RIPView attachment 1117293
Nechama amefariki akiwa na umri wa miaka 74. Kifo chake kumesababishwa na pulmonary fibrosis.
Amen....Apumzike kwa amani
Atapalizwa Mbinguni?Ametoka taifa la Mungu kwa hiyo kwake yeye itakua rahisi tu
Subiri tupate mrejesho kutoka kwa steve nyerere tafadhaliTuka hani kwenye ubalozi wa Israel
Wampe aanndae kamati ya mazishiSubiri tupate mrejesho kutoka kwa steve nyerere tafadhali
Iv Mungu akikupenda ndo unakufa??!Kupendwa na Mungu si mchezo,tulimpenda sana ila Mungu amempenda zaidi
Yaani akili zingune bora MTU angezaliwa njiwa au kuku achinjwe tuAtapalizwa Mbinguni?
ha ha ha kumuona mungu si rahisi,lazima ufe kwanzaIv Mungu akikupenda ndo unakufa??!
Very sadSad!