Mama Janet Magufuli ongera sana.Watanzania tulio wengi tulikua tunajua kua wewe ndie 1st Lady wetu.Ongera kwa utulivu wako na haukua kama wale vibiriti ngoma waliokua wanaangaika usiku na mchana kuulazimisha u-1st lady husiowahusu.Lengo lao lilikua kupata nafasi ya kuanzisha visaccos feki ya kupiga dili.Watanzania tumeshtuka,tuwewakataa,tumewakata na tumewachinjilia mbali.Watanzani tumeamini kua kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza.Ongera Mama watanzania tunakupenda sana na Mungu akupe maisha marefu na utumishi mwema katika u-1st lady wako.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika. #hapakazitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.