Kachanganya mazuri na mabaya ila sio mbaya kajitahidi kueleza hisia zake
Pamoja na kuingiliwa na mataifa ya nje lakini pia viongozi afrika baadhi Yao ni corrupt sana na wananyanyasa raia wasipoangaliwa kwa umakini na international organization wanaweza kuumiza wananchi