Sijamuona first Lady wala mumewe kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Au tafrija ya mabalozi ili substitute hayo maadhimisho ya siku ya wanawake duniani?!
Tulizoea kuwaona ma first lady front tangu enzi za ruksa mama Siti Mwinyi hakuwa haba, na enzi za Mkapa mama Anna Nkapa hakuwa haba kabisa, enzi za JK mama Salma naye tulimuona sana, hasa alivyokuwa akihamasisha wasichana wasome shule ya Wama, na alivyokuwa active kule UWT jumuiya yao.
Huyu wa sasa anaenda kanisani na mumewe kwisha, what's up with our first Lady?! Siku ya wanawake hakusherehekea, au naye alikuwepo Geita nini?! Je, hakujua siku hii ipo au hakupata mualiko?!
Sent using Jamii Forums mobile app