Uwoga gani huo yani alishindwa kumwambia huyo balozi wa US asogee ili nae asimame vizuri?
Kweli kuna ka-optical illusion
Mbona sijaona chaajabu!!
Ngeli! just imagine angemwabiaje hapo?Uwoga gani huo yani alishindwa kumwambia huyo balozi wa US asogee ili nae asimame vizuri?
Kuna ka-optical illusion hapa! Mama Kikwete hajaning'iniza mguu wa kushoto, ila mandhari iko hivi: Kwenye sakafu kuna zulia la rangi ya udongo limetandikwa ila sio refu kutoshea watu wote watano kusimama juu yake kiasi kwamba
mguu wa kushoto wa mama kikwete uko kwenye sakafu badala ya zulia. Hali hiyo inaunda taswira kwamba kaning'inia
kumbe sivyo!Both her feet are on the same level!
Ngeli! just imagine angemwabiaje hapo?
Hapo angeitikia "pardon?"is moving left is put my leg
:A S 39::A S 39:
samahani bosi mgeni mwekezaji move right a lito.Ngeli! just imagine angemwabiaje hapo?
Uwoga gani huo yani alishindwa kumwambia huyo balozi wa US asogee ili nae asimame vizuri?
mama salma kumbe mzuri hv,ni yale manguo kumbe ndo huwa yanamzinguz