First Lady- 2016

Mwalimu wa chemistry Ilboru (Mama Lowassa) vs. Mwalimu wa shule msingi Mbuyuni (Mama Magufuli).
 
fanya tathmin au utafiti kwanza, tatzo mnajifariji sana kwa mambo ambayo hamyawezi..
 
natamani ningemuona enzi za usista duu wake.
 
Watu mnapenda kuota mchana kweupe....

Hatuwezi kuongozwa na chama kinachofuata matakwa ya baba mkwe na mkwe wake.
Hao watabaki kuwa wapinzan milele.

El hawezi kuja kuongoza nchi yoyote hapa dunian labda atakuja kuongoza huko kuzim

ilatuwe kwenye chama kikongwe kinachofata matakwa ya mtoto na mama yake kwa kile wanacho kitaka,Kikwete kaiharibu ccm imekuwa ya wajingawajinga na kiota cha majungu
 
Mtanyooka tu
 
ilatuwe kwenye chama kikongwe kinachofata matakwa ya mtoto na mama yake kwa kile wanacho kitaka,Kikwete kaiharibu ccm imekuwa ya wajingawajinga na kiota cha majungu

ansee! Ansee! Ndumyana magufuli atatufikisha mbali sana,, lakn huyo babamkwe wenu na mkwe wake wapiga dili hao ni wa kuogopwa..

Hvi hamjiulizi tu? Mtu anatumia mabilion yake kuwanunua watu hadi chama ili aende ikulu hamjiulizi kuna nn hasa?

Hatuwezi kumruhusu mtu wa aina hyo ashike nchi
 
kijana mm sina chuki ila naongea ukweli ambao upo.
Ila nyinyi nawaona wengi mnaongelea kiushabiki na sio ukweli uliopo
una mtindio wa ubongo...ndo maana huwezi kuelewa wa ku fill ushetani wa CCM...nakuchukia kwa niaba ya watanganyika na wazanzibar
 
beautiful onyinye. jimama la mikorogo la kihaya tupa kuleee!
 
una mtindio wa ubongo...ndo maana huwezi kuelewa wa ku fill ushetani wa CCM...nakuchukia kwa niaba ya watanganyika na wazanzibar

mkuu wala usihangaike kunichukia mm..
Ww wachukie waliokuleta dunian,
yawezekana hawakukuweka kwenye system inayotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…