goli la mkono wapi? Ukweli ni kwamba mnaonesha ushindan kwenye mitandao lakn mmesahau kuwa kuna mitaani, vijijini n.k.
Mbaya zaidi mmejiharibia yule mliyekuwa mnawita mwizi,jambaz na watz wakawaamin kwa kuanika uovu wake leo hii ndiyo Mungu mtu wenu ambaye mnamtegemea kuwaletea ushindi.
Hapo ndo mmejiharibia kabisa.
Tuonane oct