First kiss.....

eeh bana eeh.......
jamaa alikuwa anabaka huyoo mpaka wakamkataa hizii viunganishi vya miguu.umenikumbusha mbalii sanaa aseee duh!!maisha ya kwenda kuwaibia watoto wa arusha skul choculate na vyakulaa vyao
 
he he..mzee na bi.mkubwa ilikuwa si mchezo! Ila kwa haraka haraka itakuwa ni baada ya high school! Wewe nae ulianza mapema,loooh
mazingiraaa,uswaziiii mbayaa..afu masister na ma blazaa wa kitaa walikuwa watu wa maclub sanaaa,watu wa kuvyaa ma opipiii,mashati ya drafti na pankii za shabaa ranksi.so tulikuwa tuna wakongoteaa midaa flani jioni aseee
 
that is wat am try to say...hizo moment ni chachee na ningumu kuzirudia.

Usilazimishe maana tofauti na niliyokusudia. Nilichomaanisha ni kwamba mambo mengi yalitokea kipindi hicho. . .hiyo ilikua ni sehemu ndogo tu ila kwasababu ilikuwepo siwezi kukumbuka A, B na D bila ya C. . . na sio kwasababu sijui ni special. Kiss ya kunifanya niikumbuke yenyewe tu kwa kua one of a kind bado haijatokea in Realville. . .
 
If i have to sacrifice my Avatar for you to
stop using yours,....I'M READY.

Please,...
 
Usilazimishe maana tofauti na niliyokusudia. Nilichomaanisha ni kwamba mambo mengi yalitokea kipindi hicho. . .hiyo ilikua ni sehemu ndogo tu ila kwasababu ilikuwepo siwezi kukumbuka A, B na D bila ya C. . . na sio kwasababu sijui ni special. Kiss ya kunifanya niikumbuke yenyewe tu kwa kua one of a kind bado haijatokea in Realville. . .
hayaaa mamaake
 
Ni haki kabisa kwa tanzania kupata viongozi wa hovyo kama mtu anauliza maswali kama haya???? Ndo mawazo ya watu haya?? Ohh my God!!!!
 
Ni haki kabisa kwa tanzania kupata viongozi wa hovyo kama mtu anauliza maswali kama haya???? Ndo mawazo ya watu haya?? Ohh my God!!!!
mkuu kumbukaa hili ni jukwaa la MMU sasaa swali gani haliusiki?ningetaka swali na biashara,maendeleo au elimu,siasa ningee uliza sehemu husikaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom