Thanks.View attachment 1163380
View attachment 1163382
View attachment 1163385
MMahitaji
Ganda la ndizi mbivu
Asali
Limao
Menya ndizi mbivu upate maganda
Weka asali vijiko viwili vukubwa kwenye bakuli
Kamua limao uchanganye
Tumia Ganga la ndizi kupaka mchanganyiko huu sehemu yenye jeraha.