Aiseee kuna watu wanajua sanaa ila FIREBOY ni moja wa wasaniii wakali sana kwa sasa Nigeria huwezi ongea kuhusu mziki ukamuacha huyu mwambaa... Ametoa album mpya inaitwaa APOLLO baada ya LTG iliyofanya vizuri sana ikiwa na nyimbo kali kama VIBRATION...NEED YOU..ENERGY..WAIT N SEE. Kiufupi kwa sasa ndo kijana anaehit sana Ukimtoa Burna Boy natamani sana Mziki wa Bongo ufike huku. Nigeria wapo vizuri sana.