Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
Mimi in mtanzania.lakini Mara nyingi nionapo ama kusikia matukio ya kihalifu yakitokea Nchini.huwa sisikii taarifa kwamba muhusika kakamatwa baada ya alama za vidole vyake kukutwa eneo la uhalifu au kwenye mwili wa aliyeuliwa.
Au Mimi ndo napitwa au hatuna hiyo teknolojia katika masuala ya uhalifu au?
Maana kesi nyingi mtuhumiwa anatafutwa kwa kuhisi na kuunganisha matukio, wanakamatwa mpaka watu wasio na hatia.mpaka ije kujulikana hana hatia wameshateseka vya kutosha.
Wenzetu huko mwili ukiokotwa hapo hapo eneo la tukio uchunguzi unaanza,kuanzia mazingira mpaka wahusika waliokuwepo.alama za vidole zinachukuliwa,sio kwa mwili tu. Bali hata kwenye maeneo mengine ya tukio.kisha wakienda nazo huko chemba zinatoa details za wahusika wote wanajulikana ama muhusika awe amevaa gloves.
Sisi tunayo?