Jimmy MUsa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 241
- 176
180?Triangle always have 360 deegree
X si hiyo inaonekana iko na alama kabisa X ??Mnawezaje hizi mambo!?
[emoji2] kwamba tafuta X na X yenyewe inaonekana hapoX si hiyo inaonekana iko na alama kabisa X ??
Ova
Si ndiyo hapo πππ[emoji2] kwamba tafuta X na X yenyewe inaonekana hapo
Tulipokuwa darasa la 6 na 7, kwenye maswali ya aina hii tulikuwa tunatumia kanuni moja iliyokuwa inasema hivi: pembe mbili za ndani za mbali ni sawasawa na pembe moja ya nje
Nashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?X si hiyo inaonekana iko na alama kabisa X ??
Ova
Kna mwanangu mmja alikuwa anasemaga hesabu somo la wachawi πππNashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?
Kna mwanangu mmja alikuwa anasemaga hesabu somo la wachawi πππNashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?
Hili somo wengine mwalimu alikuwa akingiaa darasani watu tunaruka dirishani ππNashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?
Somo la wachawi kweli πKna mwanangu mmja alikuwa anasemaga hesabu somo la wachawi πππ
Hili somo wengine mwalimu alikuwa akingiaa darasani watu tunaruka dirishani ππ
Ova
Utani wa ngumi[emoji2] kwamba tafuta X na X yenyewe inaonekana hapo