donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Mc Laurian's theorem, newton raphson formula, ma numerical methods yote, au differential calculusMchoro umekosewa kuchorwa, kwa jinsi ilivyoandikwa a ni 18 degrees kama alivyoonyesha APEFACE , basic Euclidean axioms and arithmetic.
Nyuzi zote za ndani za pembetatu yoyote ni lazima ziwe 180 kwa mujibu wa Euclidean geometry, labda uniambie pembetatu hii haipo katika Euclidean Geometry. Kuna pembetatu zilizo na nyuzi zaidi ya 180, na nyingine zina nyuzi chini ya 180, lakini hizo ziko katika curved spacetime, non-Euclidean Geometry.
That is axiomatic. Fiat. Ukibisha unabishana na Euclidean axioms.
Lakini mchoro haujakaa kwa angles hizo ukiuangalia kwa macho, ni kama equilateral triangle ambayo itakupa majibu tofauti ya a=60, a= 12 na a= 15 degrees simultaneously, a contradiction.
Hizi hesabu za darasa la sita, hebu leteni mambo kama ya Fermat's Last Theorem, Ramanujan's proofs na vitu kama vya Grigori Perelman.
Ni kweli kabisa mkuu, kwenye hkl tulijua tunasoma coordinate II, diff. Calc., complex #, numerical methods, na kitabu cha trunter ni kitabu kizuri sana cha kiswahili nlichokua Nikipenda.Hahaha haya ndo madhara ya HKL! Hata BAM hujasoma !
Mazee kuna watu hawajajua Euclidean axioms (like the inside angles of a triangles on flat surfaces/spacetime always equal 180 degrees,no matter what is the type of triangle), utawachanganya huko.Mc Laurian's theorem, newton raphson formula, ma numerical methods yote, au differential calculus
Sasa kumbe ni nini hiyo??Haiwezi kua 18° mkuu because hii siyo equilateral triangle so approach yako ni wrong....
Au unataka mambo ya komarov Smogrov. Fourrier. Eugine. Albert E. Na kina mimi Eudorite.....Mchoro umekosewa kuchorwa, kwa jinsi ilivyoandikwa a ni 18 degrees kama alivyoonyesha APEFACE , basic Euclidean axioms and arithmetic.
Nyuzi zote za ndani za pembetatu yoyote ni lazima ziwe 180 kwa mujibu wa Euclidean geometry, labda uniambie pembetatu hii haipo katika Euclidean Geometry. Kuna pembetatu zilizo na nyuzi zaidi ya 180, na nyingine zina nyuzi chini ya 180, lakini hizo ziko katika curved spacetime, non-Euclidean Geometry.
That is axiomatic. Fiat. Ukibisha unabishana na Euclidean axioms.
Lakini mchoro haujakaa kwa angles hizo ukiuangalia kwa macho, ni kama equilateral triangle ambayo itakupa majibu tofauti ya a=60, a= 12 na a= 15 degrees simultaneously, a contradiction.
Hizi hesabu za darasa la sita, hebu leteni mambo kama ya Fermat's Last Theorem, Ramanujan's proofs na vitu kama vya Grigori Perelman.
Hakuna A kuna a ..... hahahaaaaHow do I find A wakati iko hapo hapo? Au hujaiona?
Shida siyo kujua idadi ya topic na vitabu, kutumia ulichokisoma ndo shida yako na yawezekana room mate wako ndo aliekuwa anasoma p/mathematics wewe kiswahili ila unakumbuka hadithi zake huko shuleni.Ni kweli kabisa mkuu, kwenye hkl tulijua tunasoma coordinate II, diff. Calc., complex #, numerical methods, na kitabu cha trunter ni kitabu kizuri sana cha kiswahili nlichokua Nikipenda.
Nanotech is just about dead, I was reading somewhere. No?Au unataka mambo ya komarov Smogrov. Fourrier. Eugine. Albert E. Na kina mimi Eudorite.....
Hahahaaaa... tutaachana mapema saana mkuu. Hayo ndiyo yaliyozaa NANO SCIENCE inayotajirisha baadhi ya binadamu na nchi duniani. Hayo ndiyo technology.
Nipe tofautiHakuna A kuna a ..... hahahaaaa
Iliyoulizwa ni HERUFI KUBWA na iliyoanfikwa kwenye swali ni HERUFI NDOGO.Nipe tofauti
Sijabisha mkuu. Nimesoma hklf na klf. I rest my caseShida siyo kujua idadi ya topic na vitabu, kutumia ulichokisoma ndo shida yako na yawezekana room mate wako ndo aliekuwa anasoma p/mathematics wewe kiswahili ila unakumbuka hadithi zake huko shuleni.
Mimi ntaaminije kama kweli umesoma p/mathematics kama unashindwa kutumia elimu yako.
We ni kilazer wa kiwango cha lamiJumla itakua 180 sawa ila angles zinaweza zikatofautiana ukubwa, mfano 72°, 38° na 70°, je hizi hazikuletei total ya 180° tusirahisishe approach kisa tu tumeona common coefficient imetumika bila kujali kam triangle yetu ni equilateral ama la!
Kabisa mkuu, umejuaje? We nabii nini?We ni kilazer wa kiwango cha lami
Jumla itakua 180 sawa ila angles zinaweza zikatofautiana ukubwa, mfano 72°, 38° na 70°, je hizi hazikuletei total ya 180° tusirahisishe approach kisa tu tumeona common coefficient imetumika bila kujali kam triangle yetu ni equilateral ama la!
Unaelewa unachoandika??Nxio mkuu lakini stl huwez kurahisisha namna hiyo wakat hujaambiwa hiyo triangle ina equal sides...
naona unajisafisha kiaina kutaja topic na vitabu vya advance mathematics...Ni kweli kabisa mkuu, kwenye hkl tulijua tunasoma coordinate II, diff. Calc., complex #, numerical methods, na kitabu cha trunter ni kitabu kizuri sana cha kiswahili nlichokua Nikipenda.
Hesabu ulipataga ngap mkuu??? Ni kwel sio equilateral [emoji832], ndo maana pembe zake zimekuwa indicated by "a" ,"4a" and "5a" respectively . The summation must be equal to 180degrees.Haiwezi kua 18° mkuu because hii siyo equilateral triangle so approach yako ni wrong....
KOSAa=18