Habari zenu wanajamvi!
Mimi ni mwajiriwa kaitika benki mojawapo ya biashara hapa Dsm kama back Officer huu ukiwa ni mwaka wa tatu
Kwakweli nimekuwa na ndoto ya muda mrefu toka kipindi nasoma o-level ya kuwa fianancial consultant, sasa kikwazo
kimekuwa ni jinsi gani ya kujinasua kutoka ajira ajira yangu ya sasa na kujiunga na ndoto ya masha yangu kutokana
na ukweli kuwa sijawahi kufanya kazi za finance (typically) ie auditing, taxation, accountancy etc japo nina bachelor ya
Accounting plus professional qualifiacation ya uhasibu ie CPA (t).
Naamini hapa jamvini kuna watu wamepitia safari kama yangu hivyo ningepata mawazo yao yangenipa mwangaza
kidogo na pia naamini wapo wadau waliofanikiwa katika fani hii pls naomba mnishike mkono.
Nawasilisha.