Finally: Tanzania (Tanganyika) hatuna Rais wala Rais mtarajiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Finally: Tanzania (Tanganyika) hatuna Rais wala Rais mtarajiwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TIMING, Sep 5, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yes:

  Nchi yenye zaidi ya miaka 45, imeshindwa kutoa quality presidentt material... hii inathibitika kwenye kampeni za siasa zailizo sasa. Tumeshindwa kubaki na sera, na ubora, sasa tupo kwenye personal and tabloids, mara kikwete hivi, Lipumba mdini, slaa kapora etc!!! these types of campaigns could be relevant in countries with stable and clean systems, not our fragile personal-based country
  Kila nikiamka na kusoma habari za kampeni naishia kujiuliza, hivi hizi ni kampeni za urais na ubunge na kuongoza wananchi au ni kampeni za kutafuta mabibi, pesa na mipasho??

  We have lost it... big time; we have fallen into non essential stuff, we hvae fallen short of (even) Mwl. Nyerere who never had a clear succession strategy, that his motos were being demolished right before his very own eyes...

  Zanzibaris have seen it, they have made a milestone, to delineate from Tanganyika political rubbish

  Now, what is wrong with us?? jibu ni simpo, hatuna long term strategy ya chochote
   
 2. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na hapa ndipo mantiki inapopotea. Badala ya kuwa na socio economic political focus, tunapata mipashonic umbeanic politics zisizo na tija. Hapa i call upon viongoz wetu kurudi kwene hoja za msingi
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Sep 5, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwani Presidential Material kwa Zanzibar ni ipi? Mbona na wao ni maskini tu kama sisi?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  at least nimeona kama [personal perspective] vile wameweza kuweka utashi na siasa vizuri... huku kwetu vitu shaghalabaghala... ni personal menaces, siasa uchumi, nk.

  Kwa yanayoendelea kwa sasa [mmoja anatuhumiwa uzinzi, mwingine alioa kwa ajili ya public, mwingine kapora], itakua ngumu sana kufundisha watoto wetu maadili ya kiafrika kwa staili hi

  personal integrity ni very key kwa leader yeyote yule hata kama ni wa nyumba kumi
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  siku zote huwa tunapotea kwa sababu hatuna dira au mwelekeo
   
 6. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu acid, sera zote zinazosemwa kwenye kampeni huzioni?

  Au basi tu unataka kulinganisha Kikwete na Slaa (no equivalence at all)?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Mkuu hili linafanyika makusudi kudivert attentions za watanzania badala ya kujadili issue za Kitaifa tujadili hayo. Hili linampa nafasi sana Kikwete aendelee kufanya kampeni chafu na ahadi zisizokuwa na tija.

  Ni aibu kubwa sana kwa raisi kuanguka hadharani, mijadala ya namna hii huwa inakwepeshwa na hadithi ya nani kalala na nani! Hivi uliisha jiuliza Dr Mfisi amesomea wapi? Madaktari wa raisi wanajulikana tukianzia enzi za Nyerere Dr Honoli, Mwasha, Mwakyusa, Alivyoingia Mwinyi akina Dr Mtulia na wenzake Alivyoingia Mkapa aliwatumia kidogo wa Mwinyi baadaye akaweka shemejie Dr Kimaro, alivyoingia Mkwere alikuja na hawa Dr Mfisi ambaye nimeshindwa kujua kama ni kweli Dr kwa taaluma! Anashindwa kumshauri Kikwete aachane na kazi kubwa ya urais sababu za medical grounds ...jamaa is mentally incapacitated na hicho kifafa alicho nacho.

  Sasa inabadilishwa eti ni swaumu....waislam wanajua faida za swaumu kiimani hata kiafya. Maana simply kufunga ni kubadili physiology kidogo ya mwili bada ya kula mchana wafanya hayo usiku.

  Badala ya kujadili suala la afya ya raisi na matatizo ya EPA, na ufisadi kila siku Kikwete wanatuwekea ngonjera za Rahma Al kharoos, na mambo mengine ya kwenye chupiz. Hayo hatuyataki na hayana faida kwa watanzania.

  Mch Masa K
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sina maana hiyo....

  we have two strong contestants so far, huyo wa tatu hajakaa vizuri sana

  Tatizo nimesema president, sijasema chama au sera; presidency is beyond policies and law enforcement, i was more focused on integrity and utekelezaje: hata pia tukija kwenye sera, wote wanaongea lakini "the hows" ziko very minimum... chunguza utaona

  constructive criticism ni sawa but should be a norm kila sehemu, na pia kudanganya umma ni mbaya zaidi....

  simuoni JK kama rais wangu na napata wasiwasi mkubwa kumuona slaa kama rais wangu

  Nadhani ni wakati muafaka tuanze kuandaa rais wa 2015, mwenye utashi, sifa, vision na utaalam uliotukuka
   
 9. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo, meanwhile nchi ikae bila uongozi until 2005? Narudia tena Acid, huwezi kumlinganisha Kikwete na Slaa kwa lolote lile
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kabisa hakuna equivalence hapo. Kikwete alianguka live Jangwani wakati Dr Slaa hakuanguka.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I will never that, kulinganisha kikwete na slaa ni sawa na kulinganisha zuma na askofu tutu.. My point ni kwamba wote wana issues zao

  Presidency sio surprise package
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nchi ikae na bora kiongozi wakati tunatafuta kiongozi bora.... My point is that, tungekua maandalizi ya maana kwa mipango yetu, basi vetting zingekua namaana sio kama tufanyavyo sasa tunapoteua watu kama wagombea wa nafasi za michezo
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimeenda zaidi ya kuanguka... Umesahau bush aliondolewa vinyama huko nyumani? Hapa nazungumzia quality na utasha, ni lazma vyote vitoshe... In short nazungumzia proper vetting
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hivi kumbe jamaa ana KIFAFA, DUH.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Masa mchungaji

  Mfisi ntamlaumu tu kama bado anang'ang'ani kubaki kama dr wa rais wakati hasikilizwi, its unethical na tunajua kwamba daktari hulazimishwi na mgonjwa bali wewe ndio driver

  Lawama nyingi naelekeza kwenye ve(n)tting system yetu, basi!!!!
   
 16. W

  WildCard JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Wanalingana kwa "umalaya" kama yanayosemwa juu ya Dr Slaa na vimada wake ni kweli. Maadili ya UONGOZI yanaanza na maisha binafsi ya KIONGOZI mwenyewe. Inaelekea Dr Slaa useminari na hatimaye upadre kwa miaka kadhaa ulimnyima fursa ya kuhangaika na akina mama?
   
 17. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,470
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  ceteris peribus {other things kept constant} vyombo vya habari ndio vinaleta haya yote,,jaribu kuangalia slaa akimwaga sera hawatuoneshi wataonesha hakuna kulala mpaka kieleweke,helkopta yashindwa kuendelea na kampeni,slaa atumia kipanya,kwa mara ya kwanza huenda nchi ikaongozwa na darasa la saba,padre slaa ni kiboko,slaa apora mke,slaa awautanisha rose kamili na josephine jukwaa moja,na pale anapochapia kuzungumza ndipo panaoneshwa kwenye TV. watanzania hatupendi ukweli makala hizi niliandika nikiwa chuoni lakini zilichanwa siku hiyo hiyo
   

  Attached Files:

Loading...