Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Wakuu I know the expectations pale mnapokua chuo au Unavyokua form six ambapo unakuta unasoma ili uwe Fulani lakini hali ya mtaani ni tofauti kabisa.
Vimbwetani tulikua tunajadili mimi bila 900,000 sifanyi kazi Hali ni tofauti hata kazi ya 350,000 ambayo ni nyingi kwa mtu anayeishi kwao hana Mke Nayo haipatikani.
Kilichonifanya Niweze kukata tamaa ya ajira ni Ile Hali unaomba kazi mchakato wa unaitwa katika interview mchakato ndo unaishia hapo suala la kuitwa kazini limekua gumu sana kama ni Kuomba Mungu nimeshaingia sana makanisani.
Kingine Mashirika ya Umma kama EWURA, TANESCO, na mengine mengi yanatangaza kazi kama formality tuu hata ukiomba kazi hutasikia kuitwa kwenye interview hadi unaona wanatangaza nyingine tena.
Hali hizi zimesababisha hali yangu kudhoofika kwa sababu ya Mawazo hivyo nimeamua kufanya Biashara aisee ukikosa ajira au kitu chochote option kibao zinakuja kichwani.
Ile misemo ya Kama ipo ipo tuu
Muombe Mungu Ipo siku noana kwangu haifanyi kazi ngoja nikuze huu mtaji.