kazurikazuri
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 237
- 70
Hongeraaa, maana kazi c kupima kazi ni kupokea hayo majibu uwiii, mara ya kwanza sikuweza kuvumilia nilitokomea
Sasa wakakutumia majibu kwa posta au email ?!!!!!Hongeraaa, maana kazi c kupima kazi ni kupokea hayo majibu uwiii, mara ya kwanza sikuweza kuvumilia nilitokomea
Baada ya mwezi mmoja,ila mimi sasa ntafanya kila wiki naenda kupima.
Sasa wakakutumia majibu kwa posta au email ?!!!!!
Umesema ulitakiwa ukapime, vp unaenda polisi nn? Una mchumba watka kuoa? Hebu weka waz hyo sababu inaweza kuwapa nguvu na ujasiri watu wengine.
Kupima? The saints do, I dont.
hongera sana sasa utulizane
Hivi mnampaje mtu hongera kwa sababu tu kapima afya yake?
dunia inaelekea ukingoni ukipima na kujua uko salama unastahili hongera according to me
Baada ya mwezi mmoja,ila mimi sasa ntafanya kila wiki naenda kupima.
In red: Ndio mkuu ila sio wa kuoana,ni dates tu akataka nikapime kwanza,kwa kua nilikua sijawahi kupima ikanibidi nije kuomba ushauri humu kwa wadau wakanipa makonfidensi
Kapime acha uoga mkuu.
Hongeta sana...mwenzio nnaogopa maana yule mwanaume malaya nlivuoamua kumove on aliniambia ashanasa so Na mi nkachek..toka hapo nimeloose confidence..yaani hata nikiumwa Kichwa mawzo debe...!nawaza na kumtafakari Mungu japo nlitenda dhambi,cpati magbu...hivi kweli anaweza kuwa aliruhusu?nnaumia sanaa coz nlijitunza sana na cna list ya wanaume maishani mwangu

Pole shosti jipe moyo Mungu ni mwema,kua na ujasiri kapime upate majibu ili uwe mwepesi na ujikinge zaidii,,,sio wote wanaweza kuambukizwa HIV inaonyesha hujaambukizwaa,,kapime utakuja kunipa majibu sawa La Princesa
Mh!pole sana,sijakuelewa,ushacheki na ukapewa majibu sawa na alivyokwambia huyo jamaa yako au bado?