Amesema oxford dictionary, kwani hiyo ni yao? Mbona oxford IPO miaka mingi haijaumbwa Leo wala juzi!!!Mhhhhh

Ewaaaaaaaaa. Hahahaaaaa. Lol.aisee!!
basi kwapamoja tuseme tunawapongeza Oxford kwa kuongeza msamiati mpya
Yakunga yataga 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
HahahaHiyo "particular type of sound and fluid" ndo imeniacha hoi...Wahaya mna makuu loh