finally infinix imeanza kuwa posted GSMarena

finally infinix imeanza kuwa posted GSMarena

kancarl

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
1,357
Reaction score
804
hatimaye taarifa za kampuni ya infinix zimeanza kuwa posted katka mtandao maarufu gsmarena
nalisubri kampuni langu pendwa TECNO
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    438.8 KB · Views: 69
Ivi infinix na tecno mobile team sini kampuni moja au!? Tofauti ni brand names za products zake tatu....
 
Kama inatambulika Gsmarena ntaanza kua mteja wao, maana nasikia jamaa kwenye chaji wako vizuri
 
cha muhimu zaidi ni ziwe reviewed, wanatakiwa watume simu zao gsmarena wazi review ili tujue zaidi.
 
Ila naona ni muda na wao waachane na mtk kwenye flagships zao watumie snapdragon
wakianza kudesign simu watapewa snapdragon.

mediatek zinatolewa kama njugu, hata mimi na wewe tunaweza zipata na kutengeneza simu, ndio maana unaona simu fake pia zina mediatek.

ila snapdragon, exynos, tegra etc wanapewa makampuni yanayojukikana tu, hivyo kama kampuni ipo na inadesign vitu vya kueleweka unapewa.
 
Chief nakukubali sana kwenye hizo mambo
 
Back
Top Bottom