Finally Huawei E303 unlocked

Jamani wataalam naombeni mnisaidie namna ya ku-unlock modem yangu ya huawei E303 safaricom.pliiiz wakuu.najua wapo wajanja wa hv vitu.asante
 
Jamani wataalam naombeni mnisaidie namna ya ku-unlock modem yangu ya huawei E303 safaricom.pliiiz wakuu.najua wapo wajanja wa hv vitu.asante
 
Hi unaweza kwa urahisi kufungua e303 yako huawei kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Unlocking4u.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua simu yako kwa urahisi. Ili kupata code una zilizotajwa ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI idadi. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe.
 




Shukrani kwa taarifa yako. Mimi unlocked yangu Huawei Modem kutoka tovuti hii Theunlockspot.com kisha unlocked yangu Huawei Modem kwa urahisi.
 
Kimox Kimokole
Mie ninapata shida maana nina hii modem mpya ya tigo lakini nikifuata njia zote ulizoonyesha mwisho wa ku update firmware inanipa message ya error code:12, Get device information failed.
Nimegundua firmware iliyo humu ni 21.318.25.00.787 je hili laweza kuwa ndio shida?
 

 
Hii link powa lakini software yenyewe ili ifunguke mpaka uwe na username na password ndio ifunguke!
 
i hav been trying to unlock this modem with no success, i kindly beg 4 a help..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…