omaryahya5
New Member
- Apr 5, 2014
- 2
- 0
kama alivyokueleza mr. Dreson4 unaweza ifanya isome port kwanza afu baada ya hapo unachange firmware
https://docs.google.com/document/d/1nNuJcwOinQPwnUt9wU_MmL0rARWmK_AJozvQG-FQmfQ/edit?usp=sharing
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/496274-msaada-huawei-e303s-02-hilink.html
Waungwana mimi nimeweza ku-unlock hiyo modem lakini tatizo ni kwamba haiwezi kurudi ama ku-dial kupitia browser (hilink mode). Maana yake ni kuwa haiwezi kutumika katika mashine nyingine yoyote zaidi ya hii niliyoitumoa ku-unlock.
Any idea;namna ya kuiokoa hii modem?
Wana jamii wenzangu naombeni msaada wa ku unlock modem ya tigo e303...
msaada kwa mwenye software ya ku unlock modem ya tigo huawei e303
Piga Tigo customer service
msaada kwa mwenye software ya ku unlock modem ya tigo huawei e303
je, unataka kufungua e303 yako huawei modem? Mimi unlocked e303 yangu huawei modem kutoka tovuti hii superunlockcodes.com hapa i got code kufungua kisha unlocked huawei yangu 303 kwa urahisi.
msaada plz wakuu... huawei e303 ya tgo!
Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona.
Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock
halafu nika-update Dashboard.
Sasa nakula line zote na speed safiiii. Modem hii ina uwezo wa 7.2MB
UPDATES:
Naona PM zimekuwa nyingi ngoja niweke hapa kila mmoja
afaidi uhuru wa Kusurf kwa modem ya nini kujibanabana
Mkuu download kwanza FILE HILI (link ni yangu kwenye 4shared)
Jinsi ya kufanya kwa E303
1. Pata kwanza Unlock Code na Flash Code ya Modem yako E303 kwa kutumia IMEI yako hapa
2. Kisha Install software ya Modem yako kwa software iliyomo sasa hivi ndani ya modem kama bado hujainstall.
3. Update firmware yako kwa kuinstall Airtel Default Firmware (haiko locked ipo ndani ya rar. folder ulilodownload), hapa utahitaji kuingiza Flash Code
4. Baada ya hapo ingiza E303C ku-update dashboard yako kwenda new version
NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.
Dondosha THANKS au Like kama imekubamba
Tafadhali usifanye kwa biashara, its my upload on 4shared
Kwa wale wenye Modem za Vodacom K3570-Z au K3571-Z tumia njia hii
Kimox the Instructor
Thanks!!

Shukrani kwa taarifa yako. I got kufungua code kutoka tovuti hii Theunlockarena.com pamoja na kufungua maelekezo na kufungua e303 yangu huawei kwa urahisi.
password hua ni nini kwenye updater?tumia hizi toolz https://www.dropbox.com/s/81d0pequ7lt5n3a/E303 Firmware S Update.21.157.31.00.850.zip
https://www.dropbox.com/s/5b3r4scywlan5av/Universal_MasterCode.exe
utaandika imei ya modem yako kwenye universal master code software halafu tumie code kuanlok