Finally Huawei E303 unlocked

Wakuu naomba mnielekeze how to Debrand it kuna moja ya huawei E303 nimenunua kwny vodashop haitak kusoma network ata kwny dashboard yake ya voda nikamua kuunlock ili nijarib kwa chip nyingine naona tatizo bado lile lile nataka kuirudisha kwa wahusika.
 

imekula kwako hiyo kaka utairudishaje wakati ushaichakachua?
Je utawaeleza nini hadi wakuelewe hao viumbe?
Ila nisikukatishe tamaa nguli wapo watakusaidia kusolve........ Kimox Kimokole, e2themiza mswala wenu huo.
Alafu hivi yule malkia wa hili jukwaa @Fatma Bawazir kapotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:

imekula kwako hiyo kaka utairudishaje wakati ushaichakachua?
Je utawaeleza nini hadi wakuelewe hao viumbe?
Ila nisikukatishe tamaa nguli wapo watakusaidia kusolve........ Kimox Kimokole, e2themiza mswala wenu huo.
Alafu hivi yule malkia wa hili jukwaa @fatma Bawazir kapotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:

Aende akadownload Dashboard ya Vodacom kisha aiweke kwa mtindo kama ule alioutumia kuichakachua
 

much appreciated...nimeunlock ya vodacom (E303) kwa msaada wako!! thank you so much
 
Nahitaji ku-unlock Huawei E303s-1 modem, natumia DC – Unlocker 2 Client v1.00.0975.
Nina-select manufacturer kisha nina-select model, ina-detect modem.
Kwenye ‘unlocking’ nakutana na hizi options:
-Read Unlock code and auto enter to modem.
-Read Firmware code.
-Generate unlock code by IMEI.
-Generate firmware code by IMEI.
(i) Nifanye nini hapa?
(ii) Mbona kama inahitaji internet connection au haihitaji?


CC: CalvinPower, Mariposa, gkiwango, Don David, chief-mkwawa, Sajy, elmagnifico, njunwa wamavoko, Kimox Kimokole, e2themiza.
 
Last edited by a moderator:


Fuata maelekezo ya Main Post Ndugu
 
I did it too,thanks alot mkuu kimox,we utakuwa si mbinafsi hata katika maisha yako.
 
mkuu mimi nina modem ya vodafone k3570-z lakini haisomi kabisa line nashindwa kuichakachua, nifanyeje wadau? msaada tafadhali
 
Last edited by a moderator:
vipi Namna ya ku unlock iphone 4 au 3gs?? mwenye idea please!!ninazo jamaa kanitumia toka Malaysia ila zipo locked!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…